Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,938
- 1,437
Java applet ni progam iliyonadikwa katika java na ikaweza kuunganishwa na HTML na hivyo program kuweza kufanyakazi kwenye browser yeyote.
Program ya java inayo run katika applet ina faida nyingi. baadhi ni
Unaweza kucheza game hii hapa http://mawasiliano.zxq.net/mpirawameza.html
Credit to Dubo ambaye hakunichoka kwa msawali yangu ya kizushi.
welcome for +ve and ve feedback.
Program ya java inayo run katika applet ina faida nyingi. baadhi ni
- Mtumiji/client hana sababu ya kuisntall prgram kwenye computer yake. iprogram nakuwatayari kwenye WWW.
Unaweza kucheza game hii hapa http://mawasiliano.zxq.net/mpirawameza.html
Credit to Dubo ambaye hakunichoka kwa msawali yangu ya kizushi.
welcome for +ve and ve feedback.