Msaada wa jinsi ya kuunganisha TTCL internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa jinsi ya kuunganisha TTCL internet

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mfukunyunzi, Mar 4, 2011.

 1. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #1
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wa kujiunganishia internet ya TTCL kuna waya wao wa simu upo ndani nyumbani. Je ninahitaji vifaa gani vingine ili kuweza kujipatia huduma za internet kwenye kompyuta yangu? Naomba mnijulishe tafadhali ili nikavitafute ili nami nijipatie huduma ya internet.
  Natanguliza shukrani.
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, huwezi ukajiunganishia mwenyewe, kwanza unahitaki kuwa na modem ya DSL, then uende TTCL office ukajaze fomu za maombi ya kuunganishiwa internet. Pia kumbuka line yako ya simu kwa sasa haiko activated kwenye internet hivyo lazima ukawaone kwanza.
   
 3. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo una maanisha kuwa internet za ttcl hazichakachuliki?
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sina hakika mkuu hilo la uchakachuaji kama linawezekana kirahisi hivyo.
   
 5. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Customer care ndo solution ndugu.. Just go na utapata maelezo yote na mbona wanazo modem na wanatoa unlimited bundles unalipia muda na siyo data ambazo utatumia ndugu? jaribu modem zao utaenjoy.
   
 6. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok, mkuu nitaenda kuwachek
   
Loading...