Msaada: Notes za computer courses | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Notes za computer courses

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by K007, Mar 7, 2011.

 1. K

  K007 Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba msaada wa kupatiwa notes za Introduction to Computers
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Intoductio to compututer what?
  Computer programming.?
  Computer arctecture ?
  Computer Management Information systems.?
  computer electronics.?
  computer Hardware

  So kuwa clear usije ukapewa notes za introduction ambazoo zikakufanya uone kizunguzungu.


  Sio notes tu kama una net ya uhakika unatakiwa kupata lecture kabisa uone .
  Introduction to Computer Science and Programming | MIT Video Course
  Introduction to Algorithms | MIT Video Course.

  Unaweza kujisajili kwa hawa jama wa MIT uwe unapata update zao na lectire zao free http://ocw.mit.edu/index.htm

  Tembelea na hii website ina list ya vyuo bora vyenye free course material online
  http://www.jimmyr.com/blog/1_Top_10_Universities_With_Free_Courses_Online.php

  Na kuna jamaa wa India Institute of Technlogy wana video nyingi nzuri sana kama hii


  kama niko sawa video hii inawezekana ndio ina maelezoya nondo ulizotaka.. Download it save it. U have lecture wich u can listen anytime hata utakapokuwa huna net.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...