mi shida yangu ni kwenye laptop yangu ya note book sumsung n150, kila nikiingiza activation keys za window 7, na VISTA ginuine zinagoma, nimejaribu hata kutumia key loader , pia zinagoma, bado...
WanaJF wote nawapa heshima.
Mimi ninaye kijana wangu ni fundi mzuri sana wa tv satellite dish such as pay and free to air na mwenye akili nyepesi sana katika kujifunza Hivyo anahitaji kupanua...
Habari zenu wana sayansi na teknologia,
najua wengi wetu baada ya kuona hiyo headline kama kawaida mawazo moja kwa moja yameenda kwenye yaleeeeee... mambo yetu yale!!!!! ha ha ha teh teh teh...
kuna tatzo lmetokea i dont know but mda so mrefu nilikua na access account yang kwenye mobile but saivi inambia account temporary unavailable. Nashndwa kuelew tatzo ni lipi jaman naomba msaada...
WanaJF,
Nimekuwa nawaza ni kwa nini Tanzania bado maentrepreneure bado ni wachache wengi ni watu wa Asia. lakini Pili Jirani zetu wa Kenya kila kukicha wanatupiga bao, na hata hii juzi...
inakuwaje wakubwa? natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wana jf wote
tatizo langu ni kwamba natumia simu kama modem kwa sasa speed inanionyesha kuwa ni 921.6 kbp,kiukweli sijaridhishwa na...
Ndg wana Jf,
Naomba msaada wa jinsi ya kuirejesha email yangu ambayo imevamiwa jana na kusambaza ujumbe kuwa naomba pesa kwa watu wanisaidie eti nimeibiwa, jambo ambalo si kweli.
Nilikuwa...
Not so with the fifteen sites here. These sites changed the Internet, mostly for good, in substantial ways. Included here is everything from Geocities (which could probably be blamed entirely...
Wakuu salaam,
Nimevamiwa na wajanja kwa hiyo my email account yangu inatuma spam kwenye watu wote niliowahi kuwasiliana nao awali.
Nimebadili password mpaka kuweka majina ya kibantu bado. je...
Toka wiki iliyopita nimeona speed ya hawa jamaa imeshuka kwa kwasi ya ajabu sana, mwanzo speed yao ilikuwa inafika hadi 2.mbps kwa 3g, ila toka wiki iliyopita imeshuka na haifiki hata 1mbps, juzi...
Kuna computer nimeletewa na rafiki yangu nimfanyie Installation ya Windows,hii Laptop ni Dell D610,sasa nilianza kujaribu kuingiza Windows XP ikagoma,nikaamua kujaribu Ubuntu nayo...
wana JF,naomba msaada wa mawazo,najaribu kucompose message kwenye yahoo,inashindikana,page ya kuandika haidisplay(ninapoclic compose page haidisplay)nifanyeje?
Katika suala zima la mawasiliano hasa bila kutumia nyaya(yani wireless communication) tuna aina mbila za toplogy, ya kwanza uitwa Ad-Hoc Network topology na aina ya pili uitwa infrastructure...
Amani kwenu wadau!
Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nkapata information ya sehemu nikaatend short course ktk graphic design. sehemu yoyote dar!
thanks!