Hii Computer tatizo lake nini?? Naomba msaada.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Computer tatizo lake nini?? Naomba msaada....

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by EMM_411, Apr 1, 2011.

 1. EMM_411

  EMM_411 Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna computer nimeletewa na rafiki yangu nimfanyie Installation ya Windows,hii Laptop ni Dell D610,sasa nilianza kujaribu kuingiza Windows XP ikagoma,nikaamua kujaribu Ubuntu nayo ikadunda,nikajaribu Mandriva hapa ndo kabisaaaa ikashindwa hata ku-boot,Fedora ikakubali ku-boot lakini katikati ya Instalation ikakataa. Sasa nimeamua kurudia Windows XP SP2 imeniletea Error message ambayo inasomeka:
  ''STOP: c0000221 {Bad Image Checksum}
  The image kernel32.dll is possibly corrupt. The header checksum does not match the computed checksum.''
  Sasa hii ni kitu gani? Na je ninalitatuaje? Natanguliza shukrani
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hapo nadhani kuna RAM ina matatizo jaribu kutoa RAM moja wakati wa installtion au badilisha RM. that was my guess sabau ni tatizo kila ukifanya installtion ya kila OS.. Sababu windowd ubuntu zimegoma so troubleshotting inaonyesha ni hardware problem.

  Hili naonahata microsoft wameligusia unaweza kusoma hapa "Bad Image Checksum" Error When You Upgrade to Windows XP
  II
  Vile Vile inaweza kuwa CD au DVD drive ina matatizo fulani. Jaribu kutumia DVD drive nyngine kama unaweza

  III
  Pia unawza ku run check disk command katika DOS. command yenyewe unaadika CHKDSK. Unaweza ku google neno check dis command ujue jinsi gani unaweza ku run check disk ya ku repair. Hii inaweza kujaribu kufix tatizo kama kuna some bad sector kwenye HDD. ingawa nimekuwa ya tatu nadhani anza na hii.
   
 3. EMM_411

  EMM_411 Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  asante,ngoja nianze na option 1 alafu nitamalizia option ya pili!! Ubarikiwe sana!!
   
 4. Elba

  Elba JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 383
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo cheza na vitu vitatu. CD/DVD drive, RAM na hard disk. inavyoonekana kuna Hardware kati ya hizi iko faulty,
   
 5. EMM_411

  EMM_411 Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  okay chkdsk naifahamu,ngoja nijaribu nayo pia!!!
   
Loading...