WanaJF,
Nimekuwa nawaza ni kwa nini Tanzania bado maentrepreneure bado ni wachache wengi ni watu wa Asia. lakini Pili Jirani zetu wa Kenya kila kukicha wanatupiga bao, na hata hii juzi Microsoft wamezindua OS ya kiswahili nairobi.
Hivyo basi, mimi sio mtaalamu wa ICT lakini nimewaza tu kama layman. Google, Yahoo, Google, AOL n.k.... zinaendelea hakuna hata moja yenye foot Africa. Na sasa tunayo OS ya kiswahili Je hatuwezi kuwa na search engine ya kiswahili ambayo itasaidia kuitangaza Tz, Kukitangaza kiswahili, kuitangaza Africa, kuindeleza ICT katika nchi zetu za maziwa makuu, na zaidi Naamini kuna hela ya kutosha kwenye hii business ndio maana Google na yahoo wanataka kumerge.
Je wataalamu wa ICT mnasemaje????? Je what might be the costs (if one has an Idea)???? What might be tha bottleneck ya kuanzisha kwa sasa??????
Je inawezekana kuunda consotium ya watu wa ICT East African countiries kwa ajili ya kuplan, kufinance na hata kusimimamia????????
Naomba mawazo, criticism, Rejection zote zinakaribishwa, na tukumbuke tusichangie ili kujaza thread bali tunataka content hata kama ni watu wawili tu.