computer inakataa windows 7 activation key

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
mi shida yangu ni kwenye laptop yangu ya note book sumsung n150, kila nikiingiza activation keys za window 7, na VISTA ginuine zinagoma, nimejaribu hata kutumia key loader , pia zinagoma, bado inaandika 30 days trial, wakati kwa komputer nyingine zinafanya kazi na zinakuwa genuine.

anayefahamu hili anisaidie plz
 
tafuta window 7 all key activator maana kunakuwaga na activator za win7 premium,home,business,ultimate na of sort so kuwa precise wat is good for u then ndo udownload,utapata hizo from 4shared.com,tho u hav to chill kwa some minutes kutokana na ukubwa wa file
 
mi shida yangu ni kwenye laptop yangu ya note book sumsung n150, kila nikiingiza activation keys za window 7, na VISTA ginuine zinagoma, nimejaribu hata kutumia key loader , pia zinagoma, bado inaandika 30 days trial, wakati kwa komputer nyingine zinafanya kazi na zinakuwa genuine.

anayefahamu hili anisaidie plz

Go and buy genuine Win 7 stop pitare software, ndio maana uchumi wa nchi yetu Tanzania hauendelei kwa ajili ya watu kama nyinyi mnaopenda kuchakachua.
 
Mkuu...
Kama bado inakusumbua..
karibu uanze kutumia ubuntu...

peace, love & blessings...
 
mi shida yangu ni kwenye laptop yangu ya note book sumsung n150, kila nikiingiza activation keys za window 7, na VISTA ginuine zinagoma, nimejaribu hata kutumia key loader , pia zinagoma, bado inaandika 30 days trial, wakati kwa komputer nyingine zinafanya kazi na zinakuwa genuine.

anayefahamu hili anisaidie plz

kaka usihangaike sana, gonga Hapa

How to Rearm and Extend Free Usage (Activation Grace Period) of Windows 7 to 120 Days » My Digital Life

fuata maelekezo enjoy technology.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom