kuongeza speed kwenye pc yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuongeza speed kwenye pc yangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Dio, Apr 2, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  inakuwaje wakubwa? natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wana jf wote
  tatizo langu ni kwamba natumia simu kama modem kwa sasa speed inanionyesha kuwa ni 921.6 kbp,kiukweli sijaridhishwa na speed yake je kuna uwezekano wa kuongeza speed?
   
 2. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  labda simu ina uwezo mdogo wa transfer and receiving of data..
   
 3. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hzo 921.6 kbps ndo spidi unayopata?au ndo uwezo wa cm wa kupitisha data? Cuz kama ndo spidi unayopata cjui kwa nn unalalamika akat hata wngne hawapat 250 kpbs! Labda ucku wa manane!
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  inawezekana hvyo? Mm nimeuliza ili nijue labda kuna uwezekano wa kufanya hvyo.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndio speed ninayoipata,kwhyo mkuu unataka kuniambia hii speed ni fresh tu?
   
Loading...