Blue screen

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Naomba kuuliza-hivi ni kwa nini pc inapata tatizo la blue screen na kuji-shut down mara moja-
imenitokea kwenye pc yangu hapa-
 
Naomba kuuliza-hivi ni kwa nini pc inapata tatizo la blue screen na kuji-shut down mara moja-
imenitokea kwenye pc yangu hapa-
Kuweka kifaa kipya, drivers za kulazimisha, wadudu au kuna kifaa hakija kaa sawa..lkn usiongope unaweza ku-restore
 
not only this,
inaweza ikawa ram problem,pia yaweza ikawa software conflict,so dont be afraid,kama vipi try to do system restore the last tarehe ambayo pc yako ilikuwa haitoi blue screen and see the resultss..

All the best
shukran mkuu
 
Back
Top Bottom