HTML 5- future of the web | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HTML 5- future of the web

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Apr 12, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  HTML5 inaruhusu baadhi ya elements mpya ambazo hazikuwa zikikubalika kama tags kwenye HTML 4.

  Mfano kuna element kama nav,footer, audio ,video, aside, section n.k kujua elemets zote mpya na matumizi au kazi zake tembelea HTML5 Tag Reference

  Pia kuna element amabzo hazikubaliki kwenye HTML5 sababu imeonekana elemet hizi matumizi yake yanatakiwa kuwa kwenye presentation yaani CSS na sio content.
  Mfano wa elemt hizo ni font, centre

  Kwa wadau wote wanaojihusiha na mambo ya web na wale wanapenda kuanza kujifunza ni vizuri wajue tekenolojia ilipotoka na wapi inaelekea. Ingawa HTML5 bado Haijawa fully recomended na W3.org tayari baadhi ya features za HTM5 zinakubalika kwenye browsers nyingi.

  Nitajuaje kama web nayongalia inatumia HTML5,au HTML 4 u HTML 4.1??

  Kujua ni standard gani ya text formatiing inatumiwa na tovuti fulani unatakiwa kuanglia source code. Mfano kama unatumia firefox ukitaka kujuam jF inatumia standard gani basi unakwenda kwenye kitufe View alafu unachagua page source kwenye drop down menu mstari wa kanza kuna maneno haya
  Code hizo ndo zinataja standard inayotumiwa na ukurasa. So JF inatumia XHTML1.0 ambayo pia imebatizwa kuwa ni HTML4.1


  • Je developer mmeshaanza kutumia standard za HTML5 kwenye project mpya?
  • What are your experince za using HTML5 with diff browser?
  goood day
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  You don't necessarily have to be a developer to be applying features presented in HTML5.
  Despite the fact that HTML5 is geared at seeing the web a seamless place, just like on any other web advancement, security concerns are abound. Have read an article about the way how cookies are handled in HTML5 which raises concerns. Will try to track that article and post it here.

  Else, mengi katika HTML5 ni mazuri... but again with time we will know exactly what to adopt and what to reject.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Steve but nadhani hizi securty concerns ni zile zile ambazo zipo pia kwenye HTML 4 na XHTML1.0. Na enouraging and good thing HTML5 ni work in progress so in the future ikiwa recommended standard officialy na World Wide Web Consortium (W3C) wanaweza kuwa wameshayafukia mashimo ya security hole kwenye cookies.
   
Loading...