SLAA's WEBSITE: Are you serious? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SLAA's WEBSITE: Are you serious?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mahesabu, Apr 9, 2011.

 1. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Haya wana Chadema hawa watu wenu wa IT kweli wana copy and paste website ya Obama mpaka wanasahau kutoa ramani ya Mareakani kwenye website ya mzee Slaa... ???
  3 hours ago
  • Elia Kisigila and 4 others like this.
   • [​IMG]


    Elia Kisigila Ha,ha,ha.... Unao tu mkuu! 2 hours ago

   • [​IMG]


    Richard Kasesela naona huu ni Umarekani kupita kiasi... 2 hours ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Isaac Kitogo Umakini ndiyo tatizo kubwa ndani ya CHAFUMA 2 hours ago

   • [​IMG]


    Elia Kisigila Huo sio umarekani ni "Ujuha" sorry to say that. Ujanja mwingi, mbele giza walishasema waswahili. 2 hours ago

   • [​IMG]


    Said Surur Mhhh no comment.yangu mach 2 hours ago

   • [​IMG]


    Aristotle Mang'ombo maneno ya wakosaji hayo. 2 hours ago

   • [​IMG]


    Richard Kasesela kaka ukiwa na mapenzi kubali hata makosa niko NY nitakupigia...Aristotle Mang'ombo 2 hours ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Richard Kasesela jamani mimi nimeona nawasaidia mrekebishe mnataka kuniandama mhhh maaana napokea sms kwenye simu pleeese.. 2 hours ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Aristotle Mang'ombo haha! watu wamehaki hii kitu bibo. lol 2 hours ago

   • [​IMG]


    Richard Kasesela Aris acha propaganda hii toka wakati wa kampeni ipo (2010) i have that evidence (nina screenshot ya mwaka jana) so suala la Hacking halipo kaka 2 hours ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Andrew Chale what so now about this!Richard Kasesela 2 hours ago

   • [​IMG]


    Richard Kasesela Andrew website wa kiongozi wetu when you click on "get involved" inatokea ramani ya marekani...if you check the old Obama website you will see same features... 2 hours ago

   • [​IMG]


    Isaac Kitogo I told you Bibo, umakini ni suala gumu sana ndani ya CDM, umeona wanaoona mbali akina Shitambala wamekipiga chini chama chao. about an hour ago

   • [​IMG]


    Richard Kasesela more to come Isaac just wait... about an hour ago

   • [​IMG]


    Leonard Chacha This is petty politics @bibo!! Talk of issues of national interest, this one you could have just inboxed mbowe, zitto etc. about an hour ago

   • [​IMG]


    Richard Kasesela haya Chacha I hear you basi do that for me... about an hour ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Olivia Sanare-mwanaharakati Watajibeba mbona hawana hata uhai? about an hour ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Abel Kaseko ‎@Leonardo,wao mbona huwa hawa inbox?mkuki kwa nguruwe...
    about an hour ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Olivia Sanare-mwanaharakati Tungekuwa sis hapo mjadala wa kitaifa about an hour ago

   • [​IMG]


    Andrew Chale ‎@Kasesela hapo bado huna pointi hiyo ramani ya Obama unayosema bado aiingii akilini kwa mtu kuwa ni ishu kubwa kama unavyodhania watu wanaangalia mbele na mambo makuu ya nchi yanavyokwenda maana ukianza kuangalia kasoro ambazo hazina interest kwa Taifa ni swa na kutwanga maji katika kino kuna makosa mbalimbali yakitaalamu tena hata kwenye mtandao wa Chama chako na wa Rais wa Tz 'JK' kuna kasoro tena za kukopi na kupest we umeona hilo aaaah huna hoja mwnaccm about an hour ago

   • [​IMG]


    Richard Kasesela Andrew acha unazi mbona humu watu wamekandia website ya CCM na zingine guys this was just a small alert wala sio hoja Maana nyie kila kitu huwa hoja hata marekebisho madogo about an hour ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Andrew Chale hayo yako about an hour ago

   • [​IMG]


    Isaac Kitogo ‎@Andrew, that's just an observation. about an hour ago

   • [​IMG]


    Peter Mwininga Adrew vipi mbona mkali waona kibanzi kwa mwezio wakati boriti umejituliza nalo tuli about an hour ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Dixon Mpemba SHAME!!! 44 minutes ago

   • [​IMG]


    Andrew Chale vipimujishangae nyie 38 minutes ago

   • [​IMG]


    Editha Majura hakuna kitu nachukia kama mtu kutokubali kukosolewa! we nani? malaika au Mungu? acheni mambo ya kizamani, ukikosea ukakosolewa mshukuru aliyekukosoa, fanya marekebisho, chapa mwendo! kama kitu kidogo kwanini kilikosewa basi? mnakikosesha chama chenu sifa za bure kwa kupenda blue iitwe njano 14 minutes ago · 1 personLoading...

   • [​IMG]


    Mona Qaseem aise nilikuwa na hasira ila nimecheka bila kutaka...yaani kama ni yale mambo ya shule mtu hapo jamaa wamecopy mpaka jina na na namba ya mtihani ya mwenzake lol......Nadhani richard ameweka kwa nia njema yaani wawe makini na kurekebishana lol., nia yake ni kujenga teh teh teh...Wamekosma next time watajipanga vizuri. 9 minutes ago

   • [​IMG]


    Andrew Chale bado hamna hoja hapo! 4 minutes ago

  Create an Ad Sponsored
  Cheap Price Japan Cars  Sponsored
   
 2. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba niseme kwamba hiyo siyo website ya Chadema, pili kuwekwa hapo haimaanishi imewekwa na mwanachadema yawezekana imewekwa na wabaya wetu ili kutuharibia. Wanachadema tuko makini. Hata Yesu alisema si kila anayeita bwana bwana ataingia mbingini.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ni lini website iliwahi kuwa copied?
  Are you serious?

  Tukianzia hapo,hoja yako ni dhaifu kwa sababu hujui unachosema,you can't copy a website,but you can use a particular tempelate to create a website!
  Kama ni tempelate walitumia,bado kosa lao sio kuweka ramani ya marekani,yawezekana walikuwa wana hamasisha watu walioko marekani!

  Kosa lao ni hili,....
  Website yao hiyo haiko updated,kwa sasa walipaswa kusema "Dr.Slaa kuelekea 2015" sa sijui kwanini wanasema for 2010!

  Huo ni ugonjwa wa website nyingi za vyama,angalia thread yangu hii hapa chini:-

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/121317-vyama-vya-siasa-tanzania-na-website-zao.html
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huu ni udaku wa richard kasesela kutoka facebook ... kasesela ni mshika pembe wa jk

  that is completely hacking
   
 6. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Apart from hackers na usanii wa kawaida ninakubaliana na wadau, watu wenu wa ict chadema wanapaswa kujua umuhimu wa website yenu maana kipindi kile cha uchaguzi bado hata akina akwilombe walikuwa wanasomeka kama viongozi wa idara zenu na simu zao pia......,

  tovuti ni kioo chenu world wide cdm... Ccm web iko smart pale, ict ilimuinua obama na "yes we can" yake, guys it is and will always be generation of technology.
  Practice what you preach
   
 7. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hii sio website ya CHADEMA. YA CHADEMA NI HII www.chadema.tz.or.

  Aliyeweka hiyo analakwake jambo na malengo yake katika kupotosha.
   
 8. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wahuni hawa wameweka hata nembo za serikali kwa kujisahau kwao, ukiangalia utaona nembo ya serikali hivyo hawa ni jamaa wa serikali in action.
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kwanza ninalaani yule aliyepachika tovuti ya Chedema iliyochakachuliwa.
  Na hili limenifanya kuitafuta tovuti halisi ya Chadema. Mbali na ukurasa wa Dk. Slaa wa kampeni, nimeshindwa kuipata. Nilichogundua ni kurasa ambazo ama hazifunguki au kurasa za wapenzi wa Chadema. Pengine ni uelewa wangu mdogo wa ICT, au pengine haipo. Kama ni hivyo, ninawashauri watu wa ICT wa Chadema kujenga tovuti iliyo makini, inayokuwa "updated", tukikubali ukweli kuwa ICT ni nyenzo bora kwa nyakati tulizonazo kisiasa, kiuchumi na kijamii.
  Kuna yeyote anayo akatupa kiunganishi chake?
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Uko makini ndugu.
   
 11. e

  emalau JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Ni uchakachuzi, nimeingia kwenye website hiyo hiyo ramani ya marekani haipo. Now i'm beginning to belive that most of Tanzanians could be inherently defaulters. if you can manipulate the the website appearance at the end of the day you are likely to be the agent of stealing election
   
 12. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi nawapenda chadema wote ila kama hiyo ni website yao basi kwa nini wasiiupdate? Na sidhani kama mtu unaweza kubadilisha website ya mtu mwingine tu hivihivi bila kuwa na privileges (aka passwords ) za kukuruhusu kubadilisha. Sasa basi kama ni kweli kuna adui yao kafanya then chadema are not serious to begin with otherwise wangeprotect website yao.
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Kwa hili tuamini maneno ya Ngawaiye?
   
 14. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mbona nimefungua hakuna kitu kama hicho au ndo tuseme wametoa!??
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Yaani kwa kuchakachua nimewakubali ccm, hii ni ya wapi halafu watu wanakimbilia kukoment negatively bila kuuliza, kweli watanganyika ni wagumu kujisomea na kutafuta, mbona nimeenda sikuona kitu kama hii? Msidanganywe kirahisi! Ni IT hackers wa mafisadi wamewadanganya wavivu wa kufanya utafiti na nyie mkakubali!
   
 16. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Richard kasesela ni mganga njaa, wala hayupo karibu na JK. Ni mtu ambaye anaongea mvuke sana mbele ya viongozi wa serikali angekuwa mwanamke ungefikiria mengine

  Ukweli lakini ni kwamba Chadema siyo wasikivu, kama ccm. Hii website imelalamikiwa sana pamoja na kitengo chao cha mawasiliano.
   
 17. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Hawapendi kukosolewa hao, utaharibu weekend yako bure, oooho!!
   
 18. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  For curious minds, a quick whois search for www.wilbrodslaa.com returns a very interesting IP address: 70.40.200.147. Check the reverse IP lookup below:

  IP: 70.40.200.147
  IP Country: United States

  This IP address resolves to 70-40-200-147.bluehost.com

  7 Hosts on this IP

  1. forums.yesukristo.org
  2. forums.teknolojia.com
  3. www.wilbrodslaa.com
  4. www.kilimanjaro.co.jp
  5. forums.mwanakijiji.com
  6. www.mwanakijiji.com
  7. www.yesukristo.org

  ISP: Bluehost

  Full details here.

  Other interesting findings here.

  My quick take: Mwanakijiji is related to if not responsible for this website.
   
 19. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ROFLMAO.... this is some weak sh!t
   
 20. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  [Querying whois.verisign-grs.com]
  [Redirected to whois.name.com]
  [Querying whois.name.com]
  [whois.name.com]
  Visit AboutUs.org for more information about wilbrodslaa.com


  Domain Name: wilbrodslaa.com
  Registrar: Name.com LLC

  Protected Domain Services Customer ID: NCR-2657855

  Expiration Date: 2011-07-31 16:02:24
  Creation Date: 2010-07-31 16:02:24

  Name Servers:
  ns1.bluehost.com
  ns2.bluehost.com

  REGISTRANT CONTACT INFO
  Protected Domain Services - Customer ID: NCR-2657855
  P.O. Box 6197
  Denver
  CO
  80206
  US
  Phone: +1.7202492374
  Email Address: wilbrodslaa.com@protecteddomainservices.com

  ADMINISTRATIVE CONTACT INFO
  Protected Domain Services - Customer ID: NCR-2657855
  P.O. Box 6197
  Denver
  CO
  80206
  US
  Phone: +1.7202492374
  Email Address: wilbrodslaa.com@protecteddomainservices.com

  TECHNICAL CONTACT INFO
  Protected Domain Services - Customer ID: NCR-2657855
  P.O. Box 6197
  Denver
  CO
  80206
  US
  Phone: +1.7202492374
  Email Address: wilbrodslaa.com@protecteddomainservices.com

  BILLING CONTACT INFO
  Protected Domain Services - Customer ID: NCR-2657855
  P.O. Box 6197
  Denver
  CO
  80206
  US
  Phone: +1.7202492374
  Email Address: wilbrodslaa.com@protecteddomainservices.com
   
Loading...