Wana wa familia ya JF hamjambo?.Jamani naombeni mwongozo nifanye nini ili kuiokoa simu yangu nokia E61i jana nimedownload movie ya ukubwa wa MB 4 na capacity ya memorycard ilikuwa ya MB 512. Sasa...
Wadau nina shida laptop yangu wakati wakustart kikawaida inatakiwa inipe swicth user ili niweze kuchagua user,lkn hutoa user mmoja tu,kweye cotrol haitaki kuset user,msaada tafadhali
Habari za mapumziko wakuu!Naomba kuuliza leo nimeclick wikipedia nikaona historia za watu mbalimbali,nami napenda kuweka habari zangu hapo naomba mwongozo jamani.Asanteni pasaka njema .
Hello wana JF wenzangu!
Napenda kuwaalika wana IT wote katika, ceremony moja ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuweka hewani(online) software yangu ya mwanzo kwa ajili ya symbian v3 mobile...
SAID Mahupa, mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam anazungumzia adha ya umeme inayoendelea kuitikisa Tanzania akisema: Suala la mgawo wa umeme limekuwa tatizo sugu lisilo...
QUESTION:
"Where do the characters go when I use my backspace or delete
them on my PC?"
ANSWER:
The characters go to different places, depending on whom you ask:
The Catholic Church's approach...
Wana Jf heshima mbele. Naomba msaada wa jinsi ya kupata ITV kwenye king'amuzi cha star times toleo la kwanza. Kwa toleo jipya inawezekana kwa kuingiza manual search kwa kutumia frequency 530...
Tanzania is one of three East African countries where scientists fear trees and shrubs used in malaria treatment may disappear owing to widespread deforestation and over-exploitation for medical...
Natumia line ya airtel na simu ni nokia X6. Ila nina tatizo na spidi ya kinyonga nikiwa nabrowse au kudownload kwenye net. Kama kuna yeyote mwenye uzoefu na hili anisaidie tafadhali...
Habari wana Jf, wakuu leo nimekutana na kimeo, naomba kama kuna mtu mwenye idea na hii error, Moderm inakubali kuwa installed but ninapokuja kufungua ili nianze kubrowse inaniletea ka error...
Fellow Members,
Three days ago I was being pestered with SMS from Voda saying that my number was choosen for the 3mil draw and that I had to text my name.Charge 550/=!
I decided to send the...
Kuna watu wanapita kwenye taasisi kutoa elimu kuhusu matumizi ya simu na madhara ya kansa. Jamani kuna mwenye ujuzi na hili, je kuna watu wanafahamu hi move? Jamaa wameacha na za sim Victo Lema...
Naombeni msaada wakuu. Nimeibiwa simu yangu aina ya SAMSUNG GT B3410. Nina risiti yake na warranty. Je, kuna uwezekano wa kui-track iwapo hewani? Thanks.