Switch user kwenye laptop

Switch user kwenye laptop

moko

Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
57
Reaction score
2
Wadau nina shida laptop yangu wakati wakustart kikawaida inatakiwa inipe swicth user ili niweze kuchagua user,lkn hutoa user mmoja tu,kweye cotrol haitaki kuset user,msaada tafadhali
 
unatumia Os gani kama ni window window gani?
 
Wadau nina shida laptop yangu wakati wakustart kikawaida inatakiwa inipe swicth user ili niweze kuchagua user,lkn hutoa user mmoja tu,kweye cotrol haitaki kuset user,msaada tafadhali

be more specific, os gani?, una user accounts ngapi?
 
Inawezekana hujacreate user zaidi ya ww, kwa hapo sahau kuswitch user
 
inawezekana hujacreate user zaidi ya ww, kwa hapo sahau kuswitch user

natumia window xp-window 7 viena,kucreat ac kwenye control panel inakubali,nikiclick kwenye change the way users log on or off inaandika client services for net ware has disabled the welcome screen and fast user swicthing,you must uninstall the client services for netware,wakuu mi hapo nimeenda gizani sielewi amemaniisha nini,je ni mavitu ambayo natakiwa niingie net au?ushauri wenu wakubwa,salute
 
Hayo ndio madhara ya kutumia Windows za kufoji Windows XP-Windows 7 ndio OS gani hiyo?---Mkuu download hii program hapa: Hermitscorp Laboratory then nenda katika tools, chagua "account manager", click Show administrator account, then apply changes kama imekataa, so google for it.Happy day.
 
Log in kama Administrator > Right click My Network Place > Properties > Right click Local Area Connection > Properties hiyo page mpya itakayofunguka tafuta hapo "client services for net ware" ikiclick halafu click Unistall ikishaondoka nenda kwenye control panel click user accounts ukishaona accounts zote click "Change the way user logs on or Off" > weka tick use welcome screen", na "use fast user switching" ukimaliza restart pc

>> means nevigate to....
 
ngoja nijaribu mkuu nione itakuaje

mkuu imekubali we ni noma nimekuaminia,lkn je vipi haitasumbua nitakapochomeka modem kwenda kwenye net?manake netware imejitoa kabisa,salute
 
ss wakubwa maujanja yenu ni ya kweli hebu niongezeeni maujanja zaidi,nataka some info zipatikanekwenye admin peke yake mtu akifungua user ac nyingine asizione,ushauri washika dau,hi to bushbaby na mazd
 
mkuu imekubali we ni noma nimekuaminia,lkn je vipi haitasumbua nitakapochomeka modem kwenda kwenye net?manake netware imejitoa kabisa,salute

HAITARUDI TENA

ss wakubwa maujanja yenu ni ya kweli hebu niongezeeni maujanja zaidi,nataka some info zipatikanekwenye admin peke yake mtu akifungua user ac nyingine asizione,ushauri washika dau,hi to bushbaby na mazd[/QUOT

Wakati unacreat account ya Admin huwa kuna option ya kuset data zako ziwe private, nadhani kuna jinsi ya kurudisha ngoja nichimbe, ila kama vp unaweza kucreat account nyingine ya admin ukaset hiyo option.
 
Back
Top Bottom