Jamani naombeni msaada

Jamani naombeni msaada

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wana wa familia ya JF hamjambo?.Jamani naombeni mwongozo nifanye nini ili kuiokoa simu yangu nokia E61i jana nimedownload movie ya ukubwa wa MB 4 na capacity ya memorycard ilikuwa ya MB 512. Sasa kila ninapotaka kwenda kwenye gallarey inagoma hata kwenye menu inagoma ila nikichomoa card inakubali inafanya kazi vizuri.Nisaidieni tatizo ni nini?
 
mkuu card yako tayari imepata virus au imeovahiti na ikajishoti. Ushauri wangu kwanza jaribu kuweka card ingine,hata kama ya kuazima.kama utaona inafunguka vizuri basi ujue kadi ndo ipo na tabu.kama itakuwa ndo hiyo memory card .1 jaribu kuifungulia kwenye computer,ukiona inafanyakazi vizur copy vitu vyako na uvipaste kwenye pc yako.kisha uifomati card yako.haya twende........
 
Wana wa familia ya JF hamjambo?.Jamani naombeni mwongozo nifanye nini ili kuiokoa simu yangu nokia E61i jana nimedownload movie ya ukubwa wa MB 4 na capacity ya memorycard ilikuwa ya MB 512. Sasa kila ninapotaka kwenda kwenye gallarey inagoma hata kwenye menu inagoma ila nikichomoa card inakubali inafanya kazi vizuri.Nisaidieni tatizo ni nini?

Movie ya mb 4?????????? iko katika format gani?
umesave may be umejaza memory inashindwa kupumua.
Angalia freee space kwenye memory sa simu na external memory kama iipo ni kiasi gani?
 
Chomeka card kwende PC kwa kutumia card reader, delete mafaili.
 
Mkuu hiyo memory(512MB) inawezekana ni zaidi ya maximum capacity ya SIMU yako Mfano Nokia N70 unaweza kutika memory card hadi 1.5GB ila ukivuuka hapo, utakua unafomati kila wiki kama sio kila siku--Be care next time--Ikiwa hilo sio tatizo then kama inasoma katika phone NYENGINE au PC,delete on video file and try again, if not format the card.Happy Formating 🙂
 
Back
Top Bottom