Vodacom Moderm Error

Vodacom Moderm Error

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,780
Reaction score
1,130
Habari wana Jf, wakuu leo nimekutana na kimeo, naomba kama kuna mtu mwenye idea na hii error, Moderm inakubali kuwa installed but ninapokuja kufungua ili nianze kubrowse inaniletea ka error, C:\Program files\Vodacom\Vodacom Mobile connect\Opco\00000 default\00000.XML Program error. Laptop ni Windows Xp SP3 RAM 512 CPU 1.7,
angalia attached screen shot, Asanteni


View attachment 27831
 
toa window sp3 weka sp2 itakubali sp3 kimeo kwa program nyingi cool
 
Mkuu hata mimi nimejaribu modem ya Voda kwenye XP sp3 imekataa lakini ya zain imekubari....kama vipi fanya kama aivyo shauri jwatamani hapo juu.....
 
Thanks, @wanatamani, Crashwise, nimetafuta kibonyezeo cha senkyuu sikioni!!
 
Kwa kweli XP SP3 ni kimeo sana kwa apps nyingi, nilipokuwa natumia nokia PC SUITE sikuweza kufanikiwa kwani ilionesha .sys file ilikuwa ina miss again nilipoenda kwenye Nokia Forums nikakutana na vilio kibao vya SP3. weka xp sp2 mkuu au win 7 japo Ram yako ndogo ila inakaa vizuri na ukiongeza Ram utakuwa juu zaidi! :hat:
 
hata mimi inanisumbua sana moderm ya vodacom kwa sasa na tumia ya airtel mambo safi, voda usani mwingi sana siku hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom