Mpangamji
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 540
- 141
Wana Jf heshima mbele. Naomba msaada wa jinsi ya kupata ITV kwenye king'amuzi cha star times toleo la kwanza. Kwa toleo jipya inawezekana kwa kuingiza manual search kwa kutumia frequency 530. Naomba msaada wenu taarifa za tbc1 zinaniboa sana siku hizi.