MBISHI WA KITAA
New Member
- Apr 21, 2011
- 1
- 0
Nimekua nikisika toka kwa watu tofauti tofauti kwamba kuna mazara kuegemeza laptop direct kwenye mwili je ili ni la kweli??????
Sasa ungeweka kitu na box...yaani ueleze kuwa uliambiwa kuna madhara ya jinsi gani!...kuna celli zinakufa?...unababuka?, au inanyonya damu?,,au ninini?..fanya homework vizuri!Nimekua nikisika toka kwa watu tofauti tofauti kwamba kuna mazara kuegemeza laptop direct kwenye mwili je ili ni la kweli??????