nilipotea kdogo sababu ya mihangaiko,, naombo kuulza hzi laptop min sana sana za acer unakuta znawaka halafu hazdisplay ni jinsi gan ya kutatua tatzo?? hli??
Ndugu zangu nina usb flash 2 ambazo moja inajina Kingstone data traveler 8GB na ya pili inaitwa Sony 8GB.Tatizo lilopo kwenye hizi flash ni kwamba zinaharibu files ambazo zipo kwenye format ya...
Nimejiunga na Tigo muda si mrefu baada ya kununua modem yao, kinachonikera ni kuqa mara kwa mara mtandao unakatika yaani una kuwa hauna access. Inabidi kila mara ku click kwenye connect ili kuanza...
Ok wakuu
Hii image ninataka ichukue seheu ya juu ya web page . web yenyewe inahusika ni directory ambayo itakuwa na contact za watu ,biashara taaluma na huduma mbali mbali. Ville vile...
Hii modem ina kadude kaa kuingizia LINE lakini yenyewe kama yenyewe haitumii line na Zantel inapiga net kama kawa...
Sasa nataka kuichakachua kama modem nyingine ili nitie line ya TIGO au...
Hodi wana JF
Pengine mimi si mtaalam sana wa IT, lakini wakati hizi Fibre Optic network cables zilipokuwa zinatandazwa tuliahidiwa kuwa mawasiliano ya internet yangekuwa na kasi zaidi na tena...
1. Jifunze jambo au habari mpya kila siku.
Kwa kutumia gooogle na mitandao mbali mbali mbali ni rahisi kujifunza mambo mapya ya kitenolojia. Changamoto ni chanzo ni chanzo na habari gani...
nimeongea na mdau mmoja wa arusha yuko humu JF ni mtalam wa hii kitu,anasema kuwa hiyo programe ni kwa computer za MAC tu ambazo si nyingi9 kwa nchi kama za kwetu.
Hii ni kweli au...
mamboz wadau,
naombeni msaada wenu wa ku unlock moderm yangu ya voda ili niweze kutumia mtandao wowote maana voda ipo expensive sana na hizi ela zetu za mawazo ni noma.
natanguliza shukran
Wakuu hesma yenu tafadhali,
Nina laptop yangu imekataa kabisa kupokea internet service na sijui tatizo nini naomba mwenye utalaamu wa kutegua tatizo anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukrani
Wadau hivi km nikidownload software au application yoyote kwakutumia simu halafu nikaisave kwenye memory card ya simu je nikiihamishia kwenye computa itafanya kazi?mfano antivirus ya pc...
RIP Typewriters: Last Manufacturer Closes Its Doors
by Todd Wasserman 22
Joining other discarded technologies of late, including the Flip video camera, Kodachrome, and the humble floppy disk is...
Fews days back tumejadili na wanaamv ihili kujadili mada zinazohusu mobile data service. Kuna misamiti makampuni ya simu naona yanatumia kuvutia wateja kama vile 4G au 3G. lakini je tujiulize...
tafadhali kwa yeyote anayeweza kunisaidia: ni kwamba ninayo CD yenye software ya program ya virtual DJ(atomix productions) ambayo nili-install kwenye computer yangu(windows XP) na ikawa inafunguka...
Sensitive personal details of tens of millions of internet users have been stolen by hackers in one of the biggest ever cases of data theft, it has emerged.
Fraudsters have obtained data on...
Jamani naombeni msaada kwa wanaofahamu ni mahesabu gani yanayotumika kutambua kiwango gani cha AMP zinazotakiwa kuendesha ukubwa wa solar kulingana na na WATTS zake
mfano: solar ya watts...