3G vs 4G wireless Whts the diference ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

3G vs 4G wireless Whts the diference ?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Apr 27, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Fews days back tumejadili na wanaamv ihili kujadili mada zinazohusu mobile data service. Kuna misamiti makampuni ya simu naona yanatumia kuvutia wateja kama vile 4G au 3G. lakini je tujiulize

  • Nini maana ya haya maneno 1G, 2g 3g na 4g kaika mambo ya simu.
  • Data trough put inatakiwa kuwaje katika hizi service?
  • Tofauti ya data troughput unapokuwa kwenye movement na pale unapkuwa stationed sehemu fulani .
  • Je una huduma za 4G
  Video hii nzuri mtaalam anashuka shule inayoweza kukupa mwanga na kujua je huduma unayopata ya data ni 2G 3G au 4G  So tukiweka misamiati ya makapuni pembeni tunapata huduma gani ya data is it 2g or 3G?


  Kuhusu 4g ukisoma 4G - Wikipedia, the free encyclopedia unaona kwa standard maalum iliyowekwa na ITU-R basi hakuna service ya 4 kwa sasa. Yanachofanya makampuni ni kujiwekea standard zao na kuzibatiza kuwa ni 4g.

  Kifupi kwenye hiyo link wansema nini kuhusu 4G
  Nawasilisha kwa mjadala
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...