Kwenu Wataalamu JF. Nina maswali mawili ambayo wengi wenu mnaweza kuyaona ni rahisi lakini kwa sisi ambao tumeanza ;kucheza' na Computer baada ya kustaafu kazi ofisi za serikali zisizo na Computer...
PLEASE, Naomba mnisaidie wadau. Laptop yangu ina OS mbili. Ubuntu na XP. Nikitumia ubuntu mambo poa ila nikilog-in kwenye windows XP haisomi flash wala externel, I don know how to solve it. I NEED...
Wadau naomba msaada wenu kuna ndugu yangu amenunua laptop
Ila akijaribu kuingia inamwambia imefungwa biodisk sasa ananiambia inabid i aingie kama guest.
Amepeleka kwa mafundi kadhaa hapo dar...
salama wakuu? Tatzo langu ni moja,kuna jamaa yangu nilimuazima external yang aina ya transcend 500gb akacopy movie,sasa sijui alifanyaje nikiikonect kwenye pc huweiz kuiona kwenye my computer japo...
Naomba msaada me ni member ila huwa najaribu kuchangia maada mbalimbali wanazoanzisha wajumbe ila nimepewa warning kuwa ushiriki wa acount yangu hauonekan hivyo naombeni msaada khs jinsi gani...
Habari Jf.Mi nna diploma in clinical medicine .Malengo yangu mwaka huu ni kurudi chuoni MUHAS/SUA.Nime2mia muda mwingi kutafuta forms tajwa hapo juu bila mafanikio.Ninashimdwa kuelewa kuwa tatizo...
Miaka michache iliyopita tuliwahi kuwa na mazumzo na watu Fulani kuhusu Punguzo la Programu za komputa zinazotumika sana na Watu nchini haswa zile za Kampuni la Microsoft kama Microsoft Office ...
salama wanatekno...guys nimesikia huduma ya tigo ya data ni nzuri...sasa mimi siwez kupata mtandao wao wanaodai ni wa 3G Napata EDGE tu....tafadhalini msaada kwa hl,shukran.
Helo wataalam
Kuna ka modem ka Huawei E153 KAMENISHINDA kuchakachua
nimejaribu kufuatilia thread mbali mbali lakini napata error 'send unlock command: ERROR
baada ya kufuata hatua anuai...
NOTE: This post is intended for novice users. Experts are welcome to contribute.
Social Networks kama facebook ,tweeter, JF, n.k zimejenga uhuru mkubwa wa kujieleza. Bahati mbaya kuna wengine...
hellow great thinkers! Nina tatizo na simu yangu ni iphone 3G (mchina),ilianguka chini,sasa inaleta shida in texting! Ni touch screen. Kwa yeyote aliye na utaalam wa michina anisaidie...
The whole social networking phenomenon has millions of Americans sharing their photos, favorite songs and details about their class reunions on Facebook, MySpace, Twitter and dozens of similar...
hapo chini huyo jamaa atatoa interview amwage razi live tarehe 4 mwezi huu
more news na majadiliano gonga hapo chini
Inventor Survives 10 Murder Attempts to Release World Changing...
Kuna kitu kinatendeka kuhusu hii airtel internet.
Wao wamekuja na offer wanakupa 200mb free ukiongeza credit kabla ya saa 6 usiku, sasa cha kushangaza nimekuja kugundua kwamba ukiweka credit na...