jamani kumbe raha ya tigo ni...

jamani kumbe raha ya tigo ni...

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,889
kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona hivyo jamaani!na sisi tunataka utamu huo.
 
Ha ha ha ha haaaaaa! nilijua mapema huna maana hiyo ila kitabu chako umeweka kava ya aina yake.
 
Teh teh teh,kiukweli kwa miezi mitatu hivi hawa jamaa wako juu sana,lakini ndugu kava la kitabu chako limetuweka njia panda.
 
hahahahaha kwa msaada badili band ya network yako kama simu network yako ni 900/1800 au automatic badilisha weka wcdma. imefanya kazi kwangu bada ya kubadili band
 
hahahahaha kwa msaada badili band ya network yako kama simu network yako ni 900/1800 au automatic badilisha weka wcdma. imefanya kazi kwangu bada ya kubadili band
tufahamishe please jinsi ya kubadili band na kufanya iwe wcdma
 
dah mi nilfikiri ni tiGO ile ya mambo yetu yale nkawahi kubofya kumbe duh haya w end njema all Great thinker
 
Back
Top Bottom