alsaidy
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 334
- 90
Wana JF
Naombaa kuwasilisha kitu ambacho nimekigundua leo.
Nilikuwa na search uwezekano wa kuichakachua modem ya Zantel EC226. Nilichogundua kuwa modem za kwanza walizoziuza Zantel zote zinatumia CDMA na ndio maana hazina line ingawa sehemu ya kuweka line ipo. Na pia kama utakuwa umefuatila vizuri kata makasha yake yanayokuja na modem hakuna IMEI number kwa sababu sio GSM ni CDMA. Nilijaribu kuichakachua na hizi software zilizowekwa hapa JF zinatoa info.mwisho zinaleta modem error
Hivyo basi nilipopita pote Calculator za ku unlock huawei modem ni zile zinazotumia gsm only kama modem za Airtel,voda na tiGo ambazo zote zinatumia line na network ya GSM.
Ingawa naendelea kutafuta uwezekano wa kufanya uchakachuaji wa modem za Zantel nimeona ni bora hili swala nililete hapa kama kuna watu wana maujuzi na hivi vitu wapate kutusaidia ili tukifanikiwa tuwataarifu wana JF ku enjoy huhuma hii.