Msaada wakuu

Msaada wakuu

waseinc

Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
53
Reaction score
13
nina laptop yangu aina ya accer Aspire one D255E nilibadilisha window juzi kutoka window 7 starter kwenda window 7 ultimate ilipomaliza kuinstall window files nikaingiza crack zake zen ikaanza kujirestart computer nikaona kuna baadh ya files hazilisponse nikamua kuclick force restart ikakubali bt toka hapo haitaki kufunguka window nikiwasha window inaload tu.nikafanikiwa kuifungua kwa safe mode but inanipa limited service nikataka kupiga window upya nimeweka cd ya window kwenye external haitak kuboot kutoka kwenye dvd rum inaniandikia unknown cd.wakuu naombeni msaada kwa yeyote anayejua issue hiyo.natanguliza shukrani za dhati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom