Msaada wa movie (video codec)

aabb

Senior Member
Jan 2, 2011
105
19
Ndugu wana JF,nime-download movie niki-play inanipa message "This video is encripted.please download the codec from www.infoavi.com" . Lakini nikienda kwenye hiyo address siipati. Naomba mwenye ufahamu wa jinsi ya kupata hiyo codec anifahamishe, au ushauri nifanyeje ili movie i-play?
 

Attachments

  • mmm.jpg
    mmm.jpg
    13.3 KB · Views: 46
hiyo ni garbage mkuu wala usihangaike.tena kuwa makini na hizo link unazofungua nyingi wanakudirect sehemu.yenye virus
 
Back
Top Bottom