Nimekuwa nikiufuatilia sana ule uzi wiki yote, but nimeutafuta leo siuoni, what happened?
Hii nilishaijua itachakachuliwa..so nilicopy baadhi ya codes muhimu zote na ninazo hapa,so ukitaka niPM nitakuatia zile ambazo nimezisave.!!
we jamaa mnafiki kinoma yan, comment yako YA KWANZA hapo juu imekaa kimajungu.
pole kamanda unajua week end hiiii tena usikonde na na safari larger na mwanga wa screen havipatani. Teh teh teh
ila umenichekesha mnafiki na hapo hapo majungu.
Mtu mwenye majungu na mfaiki ni yule anaogpa kumwambia mtu ukweliau kile anchoamini kwa kuogopa kumuuzi. Kama unaona nimekudhi ujue sina unafiki wala majungu.
But nisamehe mkuu ile thread ilikuwa bomba. Laikini sidhani ama yule jamaa angeweza kuhack au kumbusha aliishia wapi ?