msaada kwenye laptop

msaada kwenye laptop

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,260
sijui hili tatizo niweke vipi nieleweke. yaani sijui nilibofya wapi then icon %90 zinakuwa kitu kimoja-default katika kufungua program yoyote. mfano muda huu hizi icons ziko katika muundo wa media player. ukibadili tena zinakwenda katika muundo mwingine mfano internrt explorer. zikiwa hivyo hakuna program unaweza kugungua, mfano calculator huwezi kufungua kwa kuwa hakuna icon ya calculator. nimejaribu kuchokonoa nimechemsha. naombeni msaada irudi kama awali
 
Jaribu ku unistall media player,na internet explorer kwenye control panel..then restart a laptop.
 
Jaribu ku unistall media player,na internet explorer kwenye control panel..then restart a laptop.

mkuu nimeiondoa mambo yakawa sawa. Nilivyoinstall tena ikarudi the same
 
Hakuna mdudu. Ni settings tu. Kila kitu kingine kiko poa. Ishu ni namna ya kufungua kila program kivyake.
 
Try system restore hadi wakati ilikuwa powa, pc yako ina vidudu vinabadili settings, wenyewe wanaita broken link
 
u haven't specified your OS, but seems like your Icon cache are getting corrupted which happens now and then. kuna hii program inaitwa 'TweakUI' inaRepair user interface,, download it here for windows XP ((((http://download.microsoft.com/downl...a6-b352-839afb2a2679/TweakUiPowertoySetup.exe)))).

When the download is finished, double click on it, this should install it. When installed, Click Start, All Programs, Powertoys for Windows XP, click Tweak UI.

When Tweak UI is loaded click on Repair then on Rebuild Icons and click Repair, then Apply and Ok...

for Windows Vista and Seven, read on this Ultimate Windows Tweaker (http://www.thewindowsclub.com/ultimate-windows-tweaker-v2-a-tweak-ui-for-windows-7-vista)
 
u haven't specified your OS, but seems like your Icon cache are getting corrupted which happens now and then. kuna hii program inaitwa 'TweakUI' inaRepair user interface,, download it here for windows XP ((((http://download.microsoft.com/downl...a6-b352-839afb2a2679/TweakUiPowertoySetup.exe)))).

When the download is finished, double click on it, this should install it. When installed, Click Start, All Programs, Powertoys for Windows XP, click Tweak UI.

When Tweak UI is loaded click on Repair then on Rebuild Icons and click Repair, then Apply and Ok...

for Windows Vista and Seven, read on this Ultimate Windows Tweaker (Ultimate Windows Tweaker, a TweakUI for Windows 7 & Vista | The Windows Club)

asante mkuu. hii yangu ni window 7. ngoja nijaribu kuifanyia kazi
 
Back
Top Bottom