Habari wanaJF,
Kwa muda mrefu nimetamani kununua bidhaa mbalimbali toka nje ya nchi na hasa kupitia njia ya mtandao.najua ipo mitandao mingi inauza bidhaa mbalimbali,lakini nimeingia woga baada...
NINA LAPTOP YANGU DELL D630 ILIANZA TATIZO KWA KUTOWAKA NA UKIBONYEZA POWER BUTTON INAFLASH TAA YA POWER,PROCESSOR NA BLUETOOTH THN INAZMA BILA HATA KUTOA SIGNAL YOYOTE KW SCREEN.
HV SS HATA...
Wadau ninatatizwa na package za Airtel,yaani wanasema wanakupa 400mb kwa 2500/- na pai wanatoa 300 mb kw 3000/- sasa kinachonishangaza inakuaje mb kubwa bei ndogo na mb ndogo bei kubwa, naomba...
Habari wanajamii F.Mimi nimekuwa mtumiaji mzuri wa internet kwa muda mrefu kabla hata mkongo wa mawasiliano haujaanza kuzungumziwa.Ninachoshangaa ni kwa kumekuwa kukitolewa taarifa mbalimbali...
Mango, the future of Windows phone | Futurespace Magazine
Ive never been a fan of Microsofts mobile phone software, but having played with Mango, the next version of Windows Phone, I confess...
Watengenezaji wa cinema ya Hurt Locker wameanza mchakato wa kuwashitaki zaidia ya watu 24,000 ambao walikuwa wanashare muvi hiyo kupitia mtandao wa BitTorrent.
Hurt Locker lawsuit targets...
Rapid-release idea spreads to Firefox 5 beta
Mozilla released a beta version of Firefox yesterday, its first on a new quick-release plan intended to bring features to browser users and Web...
Jamani mie nashindwa kuelewa hawa mafisadi wa Vodacom yaani karibia miezi miwili sasa kila nikinunua bundle yaani baada ya dakika chache tu unaambiwa bundle yako imekwisha jaza hela tena...
Nilikuwa nataka kudownload muvi za 700 mb na series mbalmbal, sasa ninauliza ni website gani naweza pata torrents so as nikadownload muvi? Na pia ni site gani inastore kubwa ya muvi ukiacha...
Kati ya symbian,Android na Windows mobile ni OS ipi inamwelekeo wa kuibuka mshindi(Symbian na mashaka nayo cause Nokia wame Partner na MS to promote Window Phone)
At practical kati ya simu...
Wajumbe samahani hivi unapofungua mafail kwenye mtandao mengine yanakuwa yameandikwa (pdf) mwanzon kabisa na mara nyingi huwa yanataka udownload na hata nikidownload nikifungua inasema file...
UTAGULIZI
Mambo ya Richmond sio tu kwetu. Labda kwa kusoma hivi tunaweza kusmile at least for few mnutes tukijiliwawaza yanayotokea kwetu na kule mbele yanatokea teh teh teh ....
Apple Sucked...
Hi guys
Nimeunguza adapter ya xbox yangu, naomba msaada kama kuna mtu anayejua zinapouzwa hapa(dar tanzania) anijulishe. Au kama kuna fundi anayeweza kuifix, basi anijulishe kwa private message...