Gurta
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 2,233
- 537
Wakuu,
Ninaamini kutakuwa na wana-Jamii Faida (nafahamu Emanuel Feruzi anashiriki kama mtoa mada) wanaohudhuria hii conference pale Mlimani City.
Naomba mtubandikie yanayoendelea huko, nimetembelea tovuti yao ila naona wako bize sana hadi wamesahau kuisasisha.
Natanguliza shukrani.