Obhusegwe
JF-Expert Member
- Dec 28, 2008
- 231
- 30
Hi guys
Nimeunguza adapter ya xbox yangu, naomba msaada kama kuna mtu anayejua zinapouzwa hapa(dar tanzania) anijulishe. Au kama kuna fundi anayeweza kuifix, basi anijulishe kwa private message.
Nitashukuru sana kwa msaada wenu (my gaming pleasure is on hold now! please help)