Faida na hasara za Ipad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida na hasara za Ipad

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kaunga, May 26, 2011.

 1. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kuna anayefahamu kuhusu faida na hasara za ipad? Msaada tafadhali; l am thinking of buying one!
   
 2. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ukitaka kumchunguza kuku hutomlaaa!:tonguez:
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  i pad gani unataka kununua?
  aina gani?
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Zamani tulita window shopping kabla ya kununia. siku hizi unafanya window shoing through google na kusoma review online za product husika . Utapata majibu ya maswali yako yote.

  Kukurahisishia google maneno haya....


  Always make google your best friend....
   
 5. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Apple,
  sorry was away!
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nashukuru, I will do it! Nilitaka kujua from here, kama kuna mtu ambaye anatumia!
  Thanks anyway!
   
 7. K

  Kosmio Senior Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Google itakusaidia zaidi kufanya maamuzi sahihi. Mimi nitakupa ushauri mdogo kuwa kama unaishia Tanzania nunua iPad yenye both wifi na 3G. Hii itakusaidia sana sehemu ambazo hakuna wireless. Lakini bei ya wifi peke yake ni cheaper kuliko ambayo ina both wifi na 3G. Pia angalia matumizi yako kama unahitaji ipi maana ziko tatu. 16GB, 32GB na 64GB. Maelezo ya kina utayapata kwenye google kama alivyoshauri Mtazamaji.
   
 8. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama ni Apple dah yaani utafurahi na roho yako maana mimi ndio naitumia sasa hivi kama unakaa nje kidogo ya Dar usinunue inayotumia wifi peke yake coz nje ya Dar hakuna huduma ya wifi ya kulipia lakini ndio zinauzwa bei rahisi kuliko za 3g ambazo zinatumia laini ya simu tofauti nadhani ni dola 200 tu,so mi nakushauri ununue hiyo ya 3g maana spidi yake ni ya ajabu na utaipenda.
   
Loading...