Nini Msaada / unafuu ulioletwa na mkongo wa taifa wa mawasiliano ?

tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,316
216
Habari wanajamii F.Mimi nimekuwa mtumiaji mzuri wa internet kwa muda mrefu kabla hata mkongo wa mawasiliano haujaanza kuzungumziwa.Ninachoshangaa ni kwa kumekuwa kukitolewa taarifa mbalimbali kuhusu uwepo wa mkongo huo na faida yake.Swali ni je hapa tulipo ndio tumeshaanza kufaidi huo mkongo wa taifa?Mbona gharama ye internet bado ipo juu?Hivi mkulima na mtanzania wa chini atapata elimu inayosemwa kupitia mtandao wa internet?Hebu wanaofahamu gharama halisi watujuze maana haiwezekani wenzetu majuu internet sio anasa lakini sisi inaonekana bado ni huduma ya wachache,nahisi kuna ufisadi hapa
 
ni vizuri pia ukituambi. ulikuwa unatumia njia gani ktk kupata mawasiliana hayo kama ni urb modem nadhani bei zinapungua ingawa ni kwa kiasi kidogo ila kuna unafuu siku hadi siku, mtandao kama voda ulianza na gharama kubwa sana /hapa tunaongelea usb modem achana na hivi vya simu gprs/ lakini kama wewe ni mtaalamu wa kuingia internet cafe unaweza usione tofauti maana mimi nimeanza kutumia huduma hii takriban miaka kumi iliyopita ajabu ni kuwa bei haipungui wala kuongezeka ni elfu moja kwa saa na mia tano kw
https://www.jamiiforums.com/
 
Mimi ni mtumiaji wa internet ya moderm na simu pia.wasiwasi wangu ni namna ambavyo suala la mkongo wa taifa linavyozungumzwa na wanasiasa as if huduma hii inaweza kuwa cheap, ndio maana nilitaka kujua nchi nyingine kama Rwanda ,kenya,uganda wao gharama zikoje? Nashukuru kwa udhoefu wako ,nakubaliana na wewe kwamba gharama zinashuka lakini sio kwa kasi iliyotegemewa na hata speed bado ni tatizo hasa kwa mikoani mfano morogoro na tanga.
 
Back
Top Bottom