website designer

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
hey people kuna web masters hapa,tunaomba tuwasiliane wazee wangu,naitaji kutengenezewa ka-web
 
hey people kuna web masters hapa,tunaomba tuwasiliane wazee wangu,naitaji kutengenezewa ka-web

enheee sema mkuuu mahitaji yako na offer yako na masharti yako. Nione kama naweza kujaribu kufanya hiyo.

Infact naweza kuuuzia template hii ya worddpres teknohama-Bongo - niliyocustomize iwe web yako . so utakacho au nitakcho badilisha ni maudhui na ujumbe(content) tu . Muonekano utakuwa huo huo kama utapenda hiyo design
 
Haya wataalam, kazi kwenu.
Ningekuwa mimi ndio nataka kuuza utaalam wangu, ningekwisha ku m PM.
 
wazee wangu kwanza nieleze hali halisi,kuna jamaa walitengeneza hii web lakini nafikiri wamekwama somehow,ukijaribu kuigoogle haipatikani,kwa hiyo nachotaka ni mtu kuimalizia manake kila kitu kiko pale,je inawezekana kama web yenyewe ipo nje ya nchi????asante wazee wangu
 
ebu wenye skype nitafuteni kwenye jackson.lema,nipo online full time
 
wazee wangu kwanza nieleze hali halisi,kuna jamaa walitengeneza hii web lakini nafikiri wamekwama somehow,ukijaribu kuigoogle haipatikani,kwa hiyo nachotaka ni mtu kuimalizia manake kila kitu kiko pale,je inawezekana kama web yenyewe ipo nje ya nchi????asante wazee wangu

Utasemaje kuimalizia wakati hata web hionekenai . Hiyo web link yake iko wapi sasa ?

Web inaweza kuwa hosted USA watengenzejai wakawa dar na mwenye web akawa China. Hakuna shida. Unaona hata Hii JF waendeshaji wako dar lakini web iko hosted majuu. Ni Kiasi cha kujua connection credentials za webserver au host na FTP connetiction zake .

Sasa tupe link ya hiyo inayotakiwa kumaliziwa
 
Mkuu unataka kutumia free host au paid?. au kama hao jamaa washahosti tayari, nitumie web address yake nikuweke katika 25 search engine as mine.
 
Mkuu unataka kutumia free host au paid?. au kama hao jamaa washahosti tayari, nitumie web address yake nikuweke katika 25 search engine as mine.

bwana mzee nitumie email addres sasa hivi nikutumie
 
I really like this... Kumbe bongo tupo juu, nimeona programmers kibao wamekua active kuchangamkia dili hii.. Tujiwezeshe tusisubiri kuwezeshwa...

All the best mangi na plz, service ikiwa nzuri usisite kuwaambia wengine kua "tanzanian programmers can"...

All da best we designers, programmers n developers... Our field is turning green, let's water it to protect it from drought! Pamoko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom