Mozilla wameachia Firefox 5 beta

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Rapid-release idea spreads to Firefox 5 beta

logo-only_270x270.png

Mozilla released a beta version of Firefox yesterday, its first on a new quick-release plan intended to bring features to browser users and Web developers sooner.
Firefox 5 beta's big new feature is support for CSS animations, which let Web developers add some pizzazz to actions such as making dialog boxes pop up or switching among photos. Also in the new version is canvas, JavaScript, memory, and networking, according to the release notes and bug-fix list.

Read more: Rapid-release idea spreads to Firefox 5 beta | Deep Tech - CNET News

Hivi beta inamaanisha majaribio?
 
Yaaani hawa Moziila wako mbele na mbali zaidi . Yaani wana support vitu amabvyo hata taasisi inasyosimaia viwango na specifaction za WWW hawajapitisha World Wide Web Consortium (W3C). Hii ndo wanaita Future proof technology. IE na competitor wengine wataipga bao Mozillla kwa kuwa fast but kwa features ni Mozilla tu .......

Nadhani hata World Wide Web Consortium (W3C) wanatumia Mozilla kama benchmark kuu ya kupitisha recommendation ya standard za web
 
Mkuu mimi naiamini hata katika speed, kukiwa na matatizo kidogo ya net EI na Chrome zinasumbua sana.
Ha haaa, inawezekana bana ikawa W3C wakawa wanaitumi
 
chrome tu mi kwngu ndo poa,hai2mii resources nying,fast on start up/launch,web apps...kwa kwel chrome nzuri sana.
 
Hii BETA ina crush mara kwa mara, wanatakiwa waifanyie uhakiki wa kina kwa mara nyingine tena.
 
Mie ninatumia opera ninaipenda maana inanionyesha speed ya net kiasi cha download pia ina turbo kwa slow connection na feature kibao.
 
Back
Top Bottom