Kuhusu pdf!!!!!?

Kuhusu pdf!!!!!?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wajumbe samahani hivi unapofungua mafail kwenye mtandao mengine yanakuwa yameandikwa (pdf) mwanzon kabisa na mara nyingi huwa yanataka udownload na hata nikidownload nikifungua inasema file format not support hivi haya mafaili yanahitaji nini??
 
Kiongozi install ADOBE READER ndiyo utaweza kuyafungua na kusoma mafaili hayo!
 
Au Fox it reader mkuu wangu inafungua mafaili ya pdf bial ugomvi
 
Wajumbe samahani hivi unapofungua mafail kwenye mtandao mengine yanakuwa yameandikwa (pdf) mwanzon kabisa na mara nyingi huwa yanataka udownload na hata nikidownload nikifungua inasema file format not support hivi haya mafaili yanahitaji nini??

fungua FileHippo.com - Download Free Software then download software ya adobe reader,halafu fungua sasa mafile yako hayo ya pdf
 
Back
Top Bottom