Panabooooooaaaaaaaaaaaaa!

Panabooooooaaaaaaaaaaaaa!

redSilverDog

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
470
Reaction score
77
Any challenges? PHP, JAVA??? yaani hamna maswali ya computer zaidi ya kuchakua?:tonguez:
 
kuna baadhi ya post zinawekwa humu isivyo sahihi, mfaani hiyo topic iliyofunguliwa mtu anatafuta adopter ilitakiwa iwe ktk matangazo madogo madogo na si hapa.
 
kuna baadhi ya post zinawekwa humu isivyo sahihi, mfaani hiyo topic iliyofunguliwa mtu anatafuta adopter ilitakiwa iwe ktk matangazo madogo madogo na si hapa.

Siyo hiyo tu hata post ya ya kuelezea gharama za internet sio Post ya technology. May be mtu anayengalia kwaj jicho moja. mabo ya gharama za internet nayo ni ya Matangazo madogo madogo. Next time mtu akitaka kuuza gari ,simu latop tutaona kweye hili jukwaa.
 
Back
Top Bottom