Watumiaji 24,583 wa BitTorrent kushitakiwa kwa kuiba movie ya Hurt Locker.

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
Watengenezaji wa cinema ya Hurt Locker wameanza mchakato wa kuwashitaki zaidia ya watu 24,000 ambao walikuwa wanashare muvi hiyo kupitia mtandao wa BitTorrent.


63y6Z.jpg

‘Hurt Locker’ lawsuit targets record-breaking 24,583 BitTorrent users
 
Back
Top Bottom