@ambilia: na vipi kuhusu MB wanakata wakati unatumia kwenye mobile phone na wakati unatumia kwenye modem?
400MB ni Wanasema ni kwa ajili ya kwenye simu tu,(usitake kujua undani wake sana) na 300MB ni kwa Modem....
@ozzie ....sms INTERNET to 15444
halafu u browse for 1month!
na speed unapotumia pc inakuwa ndogo kigodo!Wadau ninatatizwa na package za Airtel,yaani wanasema wanakupa 400mb kwa 2500/- na pai wanatoa 300 mb kw 3000/- sasa kinachonishangaza inakuaje mb kubwa bei ndogo na mb ndogo bei kubwa, naomba msaada wenu