Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari wana jF, nina tatizo la ku edit basic infmtn kwenye akaunti yangu ya yahoo mail., niliyoifungua tangu 2004. kila nikiedit jina langu, sioni mabadiliko, i mean nikisha sign in..naambiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Samsung Infuse 4G, T-Mobile G2x, Sony Xperia Play, and Nexus S 4G. Here's a rundown on each phone and why the gadget savvies should not miss any of them as they stand out from the crowd...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, naomba msaada wa software ya nokia 2730 classic itayonisaidia ku play file za youtube.
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Jamani eeh, world is full of secret and exclusive places that we either don't know about, or simply couldn't visit if we wanted to. This list takes a look at ten of the most significant places...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Guys, welcome to technology.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NILIKUWA NATAKA KUUPDATE FIRMWARE KWENYE MODEM YANGU YA TIGO HUAWEI E 153u-1, THEN NIKADOWNLOAD HIYO FIRMWARE UPDATE SOFTWATE(huawei E153), NIKAFUATA PROCEDURE ZOTE ZA KUUPDATE FIRMWARE, LAKINI...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wadau natumia nokia 2323c na nokia 2700c ni nzuri kwa kwel coz zina operamin na natumia net bila vikwazo ila cha ajabu zote hazina sehemu ya backlight setting kwajili ya kupunguza kasi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada wa njia nyingine za kuangalia tv kwenye simu zaidi ya mobiclip na mundu tv. Kama zipo tafadhali nijuzeni.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani pc yangu imekufa inaìtaj Window XP Professional CD ROM.inauzwa wapi jaman?Pia ni bei gani?mwenye nayo anijuze.za ku kopy zimegoma kabisa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada wadau, Nina cd ya windows7 ambayo sio bootable, nimekwama jinsi ya kuburn hizo files kuwa bootable win7. Nimejaribu kutengeneza iso file kwa ajili ya kuburn bila mafanikio. Natumia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
DEear all. I hv a problem with my outlook where by i can send an e-mail to clients but whn they tried to reply to the same address thy cant reach me (kunipata). What is the problem and what is...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka kununua computer ya dell. Nitajuaje kama haija chakachuliwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa, jamani naomben msaada wenu wanajamvi... Nimeinstall samsung pc studio katika pc yangu ila kila nkitaka kuconnect cm yangu kama modem haitaki ila ishu za multmedia inakubali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hello brothersss. nahitaji msaada wa mawazo yenu,je ni software ipi nzuri kwa ajili ya kurecord dawa kwenye duka la madawa? nimefikiria kuhusu microsoft access lakini nahisi itakuwa complicated...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Ni kawaida yangu ninapotaka kuangalia filamu kwenye kompyuta huwa naikopi kwanza. Mwezi Mei nimenunua filamu ambayo Kila ninapotaka kukopi inaonyesha kuwa ina GB 300. Hard Disk...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiwasha laptop aina ya Compaq, ile power light inakuwa kama inablink haraka sana huku adapter ikiwa connected to the laptop and power socket na umeme unapita vizuri tu, sasa nilijaribu kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii jamani naomba msaada wenu wanandugu..leo nilikuwa napita pita kwenye website moja wamerank anti virus number moja ni bit defender na ya pili ni karspersky ambayo ndio natumia sasa kwa...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Did you just drop your cellphone in water? Or maybe you'd like to know what to do if that happens! This week on Upgrade Your Life, Yahoo! News' Becky Worley shows us first aid techniques for...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
NEW YORK (CNNMoney) -- Apple CEO Steve Jobs unveiled iCloud, a free wireless storage and syncing service, at Apple's annual Worldwide Developers Conference on Monday. ICloud automatically stores...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wakuu salama lakini naomba uptodate key za hiyo win 7 nawasilisha..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…