msaaada: BIT DEFENDER

msaaada: BIT DEFENDER

kasambalakk

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
126
Reaction score
17
Wanajamii jamani naomba msaada wenu wanandugu..leo nilikuwa napita pita kwenye website moja wamerank anti virus number moja ni bit defender na ya pili ni karspersky ambayo ndio natumia sasa kwa miaka zaidi ya minne...jamini sasa nakuja kwenu nataka msaada wa bit defender najua jamaa wapo vizuri sana lakni nujua apa nitapata msaada wa anti virus hio na keys zake coz wale jamaa wanatoa trial period ya siku 9....natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu....rgds
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom