Skype

moko

Member
Apr 9, 2011
57
2
Wadau kwanini pia tuaianzishe utaratibu wakujuliana hali nakusuluhisha matattizo kwa kutumia skype unaongea na mtu unamwelewesha vizuri kuhusu shida yake nadhani tumezoea bila kuona mwl laivu hatuelewi vizuri hili ndo tatizo nimeliona humu ndani
 
......je,watu watakubali kuonekana live waki-adress their problems/issues??
......it is good kwa wale wenye computer at home.
......webcams is a problem to many!
 
Kwa kweli utamu wa JF ni anonymity. tukisha toa skype pseudo lenye kufata ni adress na ID sasa.
 
Utata huo,mtajikuta mnaisaidia polisi muda sio mrefu>changanya na za kwako@
 
Wadau kwanini pia tuaianzishe utaratibu wakujuliana hali nakusuluhisha matattizo kwa kutumia skype unaongea na mtu unamwelewesha vizuri kuhusu shida yake nadhani tumezoea bila kuona mwl laivu hatuelewi vizuri hili ndo tatizo nimeliona humu ndani

SKYPE? Not a good idea at all for JF!!!

Tiba
 
Mkuu skype tena? Unaweza ukajikuta unaongeA na wanausalama bure hasa sisi wazee wa kuchakachua a.k.a wachakachuuz.
 
cheki wale jukwaa la siasa walivyoshituka! nyinyi si mnasema u dare talk openly, how come u chicken out now?!!
 
Wadau kwanini pia tuaianzishe utaratibu wakujuliana hali nakusuluhisha matattizo kwa kutumia skype unaongea na mtu unamwelewesha vizuri kuhusu shida yake nadhani tumezoea bila kuona mwl laivu hatuelewi vizuri hili ndo tatizo nimeliona humu ndani

Toa mfano basi wewe skype yako ni ipi maana wengina wafanya hivi siku nyingi tatizo linpohitaji Real time audio conversation

Mkuu skype tena? Unaweza ukajikuta unaongeA na wanausalama bure hasa sisi wazee wa kuchakachua a.k.a wachakachuuz.

Sasa huyo mwanausalama kwa nini na yeye asiogope kuwa anaongea na mwanausalam mwenzake
 
Back
Top Bottom