rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Wakuu natanguliza heshima,
Naomba kuuliza hii SMK -Link Wireless Presenter Laser Mouse (VP6700) inafanyaje kazi?Nimeambiwa kuna zinazofanya unakuwa unafanya presentation kwa kupitia kwenye laptop kama mouse na sio mambo ya ku point na pen, je kama si hii kuna mwenye ufahamu anisaidie?Na je Tanzania kuna sehemu zipo?
Natanguliza shukurani,
RE.