Hatimaye ZANTEL internet wameachia baada ya kubana kwa muda mrefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye ZANTEL internet wameachia baada ya kubana kwa muda mrefu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Profesa, Jul 17, 2011.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Nimegundua hivi karibuni wadau sina limits tena za kusubiri wikinndio ni recharge Moderm yangu. Ingawa sipati zile 2G kama mwanzo, ila sijaona shida kwenye matumizi, inachukua karibu wiki kwa 500MB ninazopata kwa kiasi cha shs kama 7000. Ninachofurahia ni speed! Ile ya 2 GB wadau vipi mmeipatia jibu?
   
 2. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3,477
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  tatizo ukimaliza hizo 500 mb huwezi recharge hadi mwezi uishe.
   
 3. T

  The Priest JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  500mb tsh.8000 kwa wiki,sh.10,000 ndio kwa mwezi..bado matatizo vilevile.
   
 4. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamia airtel
   
 5. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Yawezekana ni mimi tu sijui, ila zikiisha ninaweza charge mda wowote, ila kweli ni ghali maana 1GB kwa wiki inakuwa 16000/=. Ila nisaidieni labda nilichakachuliwa, nilinunua moderm ya Airtel, nikagundua inaingizwa line yoyote ya Airtel sio kama hii ya Zantel ambayo tayari iko fixed nI 3G, sasa naombeni mnijuze kama Airtel wana 3G nannitaipataje, spidi vipi?
   
 6. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3,477
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Airtel wanayo 3g ila integemea wapi upo, sio maneo yote inapatikana.
   
 7. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sasatel ni wazuri zaidi maana1.5GB kwa wiki ni tshs.7500 then kifurushi kikiisha kabla ya wiki moja unasitisha tu! Na ku-recharge upya.NA SPIDI YAO NI NZURI tatizo ni upatikanaji wa vocha zao hazijanea sana mtaani
   
Loading...