Zipo ila bongo bado hazijafikanokia C1-00
nokia C2-00
Mkuu hivi una habari kuwa kuna baadhi ya product ni kwa matumizi ya Ulaya pekee yake nakupa mfano wa simu za samsung za Double line zimetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nchi za Africa na India pekee lakini Ulaya na America hawana hizi simu kama hauniamini ingia SAMSUNG uangalie hii kitu ndipo utaniamini,na kuna baadhi ya Simu za iphone 4 zinatumia line ndogo tofauti na za huku kwetu tanzania.bongo pia zipo hizo simu sku hizi ni just wiki tu kwa kitu kilichotoka ulaya kuja bongo. Pia cha kuongeza hizo simu hukaa na charge kwa matumizi ya kawaida up to 6 days
mkuu kwa uzoefu wangu hakuna simu za double line zilizotengenezwa na nokia hadi hivi sasa. Kuna wakati walitengeneza simu ya kuingia line mbili lakini hauwezi kuzitumia kwa wakati mmoja itabidi uzime moja na kuwasha nyingine.
Uko sahihi kabisa mimi ninayo samsung single line screen touch. Applications nyingi kwenye manual ni kwa ajili ya European countries. Kwa mfano WIFI broadband, nk japo hata Moshi nadhani WIFI ina function.Mkuu hivi una habari kuwa kuna baadhi ya product ni kwa matumizi ya Ulaya pekee yake nakupa mfano wa simu za samsung za Double line zimetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nchi za Africa na India pekee lakini Ulaya na America hawana hizi simu kama hauniamini ingia SAMSUNG uangalie hii kitu ndipo utaniamini,na kuna baadhi ya Simu za iphone 4 zinatumia line ndogo tofauti na za huku kwetu tanzania.
Cheki posta mpya ukivuka embassy hotelkuna duka la nguolina tazamana na NMB makao makuu, hapo nje dukani kwa pembeni kuna waarabuhapo wanauza simu bei ya kutupa, wanazohizo. ila bei sikumbuki.Zipo ila bongo bado hazijafika
Mkuu hivi una habari kuwa kuna baadhi ya product ni kwa matumizi ya Ulaya pekee yake nakupa mfano wa simu za samsung za Double line zimetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nchi za Africa na India pekee lakini Ulaya na America hawana hizi simu kama hauniamini ingia SAMSUNG uangalie hii kitu ndipo utaniamini,na kuna baadhi ya Simu za iphone 4 zinatumia line ndogo tofauti na za huku kwetu tanzania.
Juzi nimeona Mchina line nne... nikachoka, line zote zinakuwa hewani concurrently....Ila kuna ya kichina imetoka na line tatu! huyu nae kiboko kwa magumashi jamani. Mchinaaaa weeeeee!
Mkuu utaua betri muda si mrefu kwani kila kibati cha line mbili kinakula chaji balaa soma maelezo yake vizuri utagundua.Mkuu mi nina NOKIA 7100 Original nimezikata line zangu mbili nikapachika kwenye kile kibati na na natumia line 2 kwa wakati mmoja na net kwa kwenda usa jombaa.
Hii fics kiboko.....hahahahaMkuu mi nina NOKIA 7100 Original nimezikata line zangu mbili nikapachika kwenye kile kibati na na natumia line 2 kwa wakati mmoja na net kwa kwenda usa jombaa.