Dhl, tnt na ems ipi rahisi?

K007

Member
Jan 30, 2011
52
3
Wazee habari za siku, nataka kununua iPad 2 kupitia online sasa mnanishauri nifanyeje ili niweze kuipata kwa gharama nafuu zaidi? anayejua gharama za kutumiwa via DHL, TNT au EMS tafadhali anifahamishe wakubwa nipo Dar essalaam wana jamii!
 
Mkuu depends anayekuuzia atapenda kutumia shipment gani ems is slow, alafu kuna baadhi ya nchi watakwambia they cant use it UPS is expensive kuliko DHL, TNT am not sure kama ni rahisi kwa kila nchi kuitumia kwa hapa, Fedex expensive, nadhani njia nzuri ni DHL

Lakini cha maana muuzaji wako mwambia akupe qoute ya shipment zote anazoweza kutumkia lakini am sure Dhl itakuwa Okay and for two Ipads depends na uzito wake lakini sidhani kama itazidi unaweza ukakuta by dhl around 12usd per Kg

Jaribu hii dhl shipment calculator

http://dct.dhl.com/input.jsp?langId=en
 
Mkuu mimi ningekushauri kama unaweza ungenunulia hapa hapa hii ni kuavoid usumbufu wa kusubiri hicho kitu na gharama ya kutuma hicho kitu,halafu kingine unaweza ukainunua ikawa iko locked sasa utaanza kazi ya kuifungua na kingine inaweza ikawa na matatizo sasa jinsi ya kuirudisha ikawa kazi pamoja na usumbufu,nasema hivyo nikiwa ni mnunuaji mzuri wa vitu online na matatizo kama hayo yameshanitokea mara nyingi tu na kitu kingine apple hawana wakala Tanzania ila wapo KenyA.
 
Wazee habari za siku, nataka kununua iPad 2 kupitia online sasa mnanishauri nifanyeje ili niweze kuipata kwa gharama nafuu zaidi? anayejua gharama za kutumiwa via DHL, TNT au EMS tafadhali anifahamishe wakubwa nipo Dar essalaam wana jamii!
Depends! Fedex is cheap if from USA, DHL is cheap if from asia/ europe, ems cheap from selected outlets usa/asia
 
Back
Top Bottom