wataalamu wa mambo simu tunaomba hili vipi lina umuhimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wataalamu wa mambo simu tunaomba hili vipi lina umuhimu?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Slave, Jul 17, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  salaam kwenu ndugu zangu natumai jumapili ya leo mpo vizuri ki-afya kama ndivyo basi tunabaswa kushukuru na kwa wale ambao wamepatwa na mtihani wowote pia nawaombea m-mungu aweke wapesi.

  baada ya salamu naomba niulize kama kuna umhimu wa wataalamu wa mabo ya simu kuwa wanatuwekea mafaili ya ku-flashia simu kama vile DCT4 ,BB5 ,MTK,SPD,SKY, NK. pamoja na michoro najua wengi tunaweza kufaidi.
  nawasilisha. 1600.jpeg 3310.jpeg 33100.jpeg
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  wapi dr phone? wapi ommari.
   
Loading...