Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Muendelezo wa chanel zetu za bureeee kwa wale wapenda soka na michezo super sport blitz ipo kwa ajili yako copy link hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
:mod:jamani wanafamilia habari za mida...poleni sana na majukumu ya kila siku...sasa familia me sasa ni zaidi ya miezi sita kam sio saba kwenye laptop yangu kuna virus uyo anakula desktop icon...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Source: The Guardian (sio letu) Evangelical Christians in Brazil have apparently banned the use of USB connections after claiming the technology is the mark of Satan-worshippers (Hat tip...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimejaribu kufungua Word document kwenye Word 2007 na kupata message hiyo hapo juu! Nimesoma online solution lakiki sijafanikiwa. Jamani nipeni idea maana siwezi kufungua document (CV) na kuedit...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vipi j.f mpo programmers wa ku develop android mobile applications? Nimekuwa impressed na kenyans ambao wana contests za kudevelop android apps hostes by google, nilikutana na chalii mmoja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu jamvini naomba yoyote aliyebahatika kupewa invite na kutumia google + anipe invitation na mimi. Tafadhali ni-pm nitakupatia email yangu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, nina Ipod yangu ambayo hai-display, kwenye screen inawaka rangi nyeupe tu. Ila mziki inapiga. Niliogopa kupeleka kwa mafund hawa uchwara wacje wakaiua kabisa. Msaada wenu, mnaweza nielekeza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yap habari zenyu people hv wajameni mie kwa ujuzi wangu nafaham kuwa kuna mitandao ya GSM and CDMA ambapo GSM kuna tigo, airtel, voda ambapo wana GPRS/EDGE and 3G networks, pia zantel ipo lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naitumia kwenye tarakilishi yangu. Siku nimefyonza kabrasha fulani nikaenda kuprint sehem fulani. Narudi na kuichomeka inanihitaji ku scan. Ile kumaliza scan na taarifa zangu zote muhimu zimefutwa...
0 Reactions
15 Replies
763 Views
Naomba Msaada nataka kutumia huduma ya iNTERENERT ya Vodacom kupitia modem ya ZANTEL nifanyeje mbona sioni IMEI yake ila SN yake tu Pia kuna mdau mmoja aliwahi kuandika humu kuwa Modem ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunajua kwamba almasi ni carbon; na inatengenezwa kutokana na High Pressure and Temperature over a long time. Na hivyo ndivyo natural diamond inavyotengenezeka..., Hiyo basi mtu yeyote anaweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimetengeneza toolbar ambayo itakuwezesha kuona channel zaidi ya 7 kutoka katika kila nchi niliyoitaja. Link hii hhapa Welcome to www.givenality.ourtollbar.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ninawapa link ya software. pia unaweza kurecharge Mobile Partner 16.001.06.01.500.zip
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie anayefahamu symbol rate na frequency za star tv,Itv,Eatv,channel 10 na capital tv kwa satelite anisaidie kunijuza tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
http://youtu.be/EYdXnDGibw4
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Freelancer programmer is needed to undertake below project; it's one developer project and should not take more than 4 weeks. This project will be implemented using WordPress. Project...
1 Reactions
2 Replies
972 Views
Habari wana Jf,kuna software nimeikuta kwenye pc ambayo ime block web browser yeyote kufunguka ili kuweza surf internet,yani huwezi fungua Internet explorer wala firefox wala google...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Wakuu hii kitu ni balaa, iphone prototype inapigwa mnada ebay, sasa hivi bei imefikia US $999,999.01! OMG Fuatilia mnada hapa; Apple iPhone 4 black APPLE GENUINE PROTOTYPE, TESTER | eBay
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Wakuu na watalaam Je hatuwezi kuwa na animated avatar iliyokuwa created na JF members. Sasa kwa wenye ujuzi au knowledge sijui ni programmers au graphic designers na developer tunaomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Transparent desktops were quite popular year ago. They were followed by all kind of “Transparent Devices” all the way to transparent billboards.So I made a comprehensive collection, and posted it...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom