msaada wa kuunlock nokia e72

msaada wa kuunlock nokia e72

m.elly

New Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1
Reaction score
0
msaada wa kuunlock nokia e72. its a blackberry phone imegoma kufunguka
 
Nokia E72 its a BlackBerry phone? WTF is this?

Hata kama unatumia simu kupost, fanya taratibu na ujieleze kabisa ili usaidike. Otherwise unatuongezea hasira tu wengine huku!

OK, gotcha! Ni post ya kwanza tangu ujiunge.
 
Hiyo ni mchina,maana washamba wengi simu ikiwa na quetty keypard wanaziita blackbery so thats why she say nokiablackbery.
 
Hiyo ni mchina,maana washamba wengi simu ikiwa na quetty keypard wanaziita blackbery so thats why she say nokiablackbery.
<br />
<br />
its QWERTY KEYBOARD!
 
dah' mkuu unaomba msaada wa BlackBerry au Nokia E72????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom