Hi all.
Jamani wanaJF wenzangu naomba msaada/ elimu kuhusu kfanya changes ya outlook.
Officin kwetu wamenunua kampuni jngne ambalo llikuwa linatumia DOMAIN tofauti na yakwetu (eg...
Wazee habari za siku, nataka kununua iPad 2 kupitia online sasa mnanishauri nifanyeje ili niweze kuipata kwa gharama nafuu zaidi? anayejua gharama za kutumiwa via DHL, TNT au EMS tafadhali...
Source: EA Combined-East Africa is Talking - Powered by CO.CC
The history of camera is a complicated one. Louis-Jacques-Mande Daguerre invented the first photographic device in 1836. George...
Of all the minerals mined from the Earth, none is more useful than gold. Its usefulness is derived from a diversity of special properties. Gold conducts electricity, does not tarnish, is very easy...
How to Clear/Flush DNS cache in Linux/Windows/Mac Os?
If a website newly registered in internet world, it may not be loaded in your computer. For example, you register for example.com...
Hacking Autorun.inf virus attack Is autorun.inf virus?
When i studied second year(cse), my friends told that autorun.inf is virus. I thought so. Because my antivirus blocks autorun.inf...
Minnesota hacker Barry Ardolf was sentenced to an 18-year term in a federal prison this Tuesday. Ardolf had terrorized a neighboring family for two years through a carefully planned campaign...
Habari wandugu. Nina cm yangu mode ya iPHONE ya kichina tangu niinunue haijawahi kunisumbua. Jana niliiweka kwenye mfuko wa suruali nikalala nilipoamka ikawa haisense kwenye screen, nimejaribu...
Habari,
Naomba msaada wa jinsi ya ku run Servlet kwa kutumia Apache Tomcat server (Natumia tomcat 7), with JDK kwenye windows.. JDK seems to work fine..
Nimecreate form tag kwenye .html file na...
Wadau kwanini pia tuaianzishe utaratibu wakujuliana hali nakusuluhisha matattizo kwa kutumia skype unaongea na mtu unamwelewesha vizuri kuhusu shida yake nadhani tumezoea bila kuona mwl laivu...
Wakuu natanguliza heshima,
Naomba kuuliza hii SMK -Link Wireless Presenter Laser Mouse (VP6700) inafanyaje kazi?Nimeambiwa kuna zinazofanya unakuwa unafanya presentation kwa kupitia kwenye laptop...
WanaJF heshima zenu wa kuu! Maana nyie ndo kama bunge la jamhuri ya tanganyika. Nahitaji kusikiliza BBC Swahili live online, nifanyaje? Naomba msaada please.
Nimegundua hivi karibuni wadau sina limits tena za kusubiri wikinndio ni recharge Moderm yangu. Ingawa sipati zile 2G kama mwanzo, ila sijaona shida kwenye matumizi, inachukua karibu wiki kwa...
salaam kwenu ndugu zangu natumai jumapili ya leo mpo vizuri ki-afya kama ndivyo basi tunabaswa kushukuru na kwa wale ambao wamepatwa na mtihani wowote pia nawaombea m-mungu aweke wapesi.
baada ya...
Windows 7 is the perfect OS to run on a Netbook but how do you install it without a CD drive? Use a USB flash drive in place of the DVD. In this article I will show you how to create a bootable...
Habari wana JF.Nilinunua laptop Dell inspiron 1545 miaka 2 iliyopita.Toka ikiwa mpya mpaka sasa uwezo battery kutunza charge ni mdogo sana si zaidi ya dk 30 toka umeme unapokatika.Je hii ni...
...wakuu kuna external ya 1TB,na sio portable,yenyewe inatumia umeme,but jana nilidondosha bahati mbaya then sehemu ya kuchomekea USB wire ikang'oka so siwezi tena kuchomeka USB wire but...
Wakuu naomba msaada wenu. Radio za gari zangu (nadhani gari nyingi za kutoka Japan) zinasearch hadi 90 peke yake. Nini nifanye nipate radio zenye frequency zaidi ya 90?