Habari wana JF.Nilinunua laptop Dell inspiron 1545 miaka 2 iliyopita.Toka ikiwa mpya mpaka sasa uwezo battery kutunza charge ni mdogo sana si zaidi ya dk 30 toka umeme unapokatika.Je hii ni kawaida?Nifanye nini ili niweze kupata battery inayokaa muda mrefu hasa kipindi hiki cha mgao wa umeme?Iwapo zinapatikana naomba specification na mahali zinapopatikana