Msaada:Western digital 1TB external

Venant Ben

Senior Member
Nov 29, 2010
155
10
...wakuu kuna external ya 1TB,na sio portable,yenyewe inatumia umeme,but jana nilidondosha bahati mbaya then sehemu ya kuchomekea USB wire ikang'oka so siwezi tena kuchomeka USB wire but nikichomeka waya unaoingiza umeme ktk external inaonesha unaingia vizuri kwasababu inawasha taa kama kawaida,so naomba kujua kama kuna uwezekano wa kubadilisha housing ya hii external?kwasababu HD yake ni kubwa kama ya desktop! if yes nitapata wapi au maduka gani kwa anayejua!and hata kama nikibadilisha ninaweza kupata tena data zangu?mana karibia 87%imetumika,au kama kuna fundi yoyote naweza kuelekezwa ili nimpelekee!
Natanguliza shukran!
 
Unaweza kubadilisha housing pia unaweza ukaitoa ukaiweka ndani ya desktop PC. Duka lolote la Kompyuta litakuwa linazo hizo enclosure.

Kama katika kudondosha haujaiharibu harddrive yenyewe basi data zitakuwa salama.

Lakini hard drive ziko sensitive sana na shock kwa hiyo kuna uwezekana umeiharibu na HD yenyewe, utajua utakapopata enclosure mpya.
 
Duh,

Umenikumbusha na mie nilishapata hii issue, same company, same capacity. Sikumbuki kama nilidondosha lakini. Nikasema nitatoa housing na kuiweka kwenye desktop. I never did get the time. Should make this a weekend project and post something here :) .

Kama unaweza, au una mtu anayeweza kuitoa drive yenyewe kwenye case yake, na kuiweka katika desktop yenye SATA connectors (CD Drive connectors should do) unaweza kuangalia video hii hapa.

http://www.youtube.com/watch?v=c2PnLRVeMxI&feature=player_embedded#at=104
 
Unaweza kubadilisha housing pia unaweza ukaitoa ukaiweka ndani ya desktop PC. Duka lolote la Kompyuta litakuwa linazo hizo enclosure.

Kama katika kudondosha haujaiharibu harddrive yenyewe basi data zitakuwa salama.

Lakini hard drive ziko sensitive sana na shock kwa hiyo kuna uwezekana umeiharibu na HD yenyewe, utajua utakapopata enclosure mpya.

thanx Kang,but nimejaribu kuifungua imekuta haiwezekani kuweka katia desktop kutokana na meno yake yalivyokaa,maybe kuna njia nyingine ya kitaalam,so ngoja nijaribu kutafuta housing mpya then nitaleta feedback!
 
Duh,

Umenikumbusha na mie nilishapata hii issue, same company, same capacity. Sikumbuki kama nilidondosha lakini. Nikasema nitatoa housing na kuiweka kwenye desktop. I never did get the time. Should make this a weekend project and post something here :) .

Kama unaweza, au una mtu anayeweza kuitoa drive yenyewe kwenye case yake, na kuiweka katika desktop yenye SATA connectors (CD Drive connectors should do) unaweza kuangalia video hii hapa.

‪remove‬‏ - YouTube

mkuu now naanza kupata wasi wasi na hii product!but next time ntakuwa makini katika kuchagua brand,hawa WD sitaki tena!
 
thanx Kang,but nimejaribu kuifungua imekuta haiwezekani kuweka katia desktop kutokana na meno yake yalivyokaa,maybe kuna njia nyingine ya kitaalam,so ngoja nijaribu kutafuta housing mpya then nitaleta feedback!
Hiyo HDD yako ni SATA na hiyo desktop ni IDE so tafuta kifaa kinachoitwa SATA to IDE converter ndio uifunge hivyo vifaa vipo vingi sana maduka ya computer
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom